Ticker

6/recent/ticker-posts

AUDIO: Paul Clement – In You Mp3 Download


Mhubiri na mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania, Paul Clement, ameachia wimbo wake mpya unaoitwa “In You.”


Kama kawaida, Paul Clement anaendelea kuwabariki mashabiki wake kupitia nyimbo zenye ujumbe wa imani, matumaini na kuwatia moyo kuendelea kumtegemea Mungu katika kila hali.


“In You” ni wimbo unaowakumbusha waumini kuwa nguvu na tumaini la kweli hupatikana kwa Mungu pekee. Ni nyimbo ya kiroho itakayokutia amani na kukuinua kiimani.


🔥 Sikiliza & Pakua “In You” hapa chini:


[Download Mp3]


Artist: Paul Clement

Song Title: In You

Genre: Gospel

Country: Tanzania

Released: 2025

Post a Comment

0 Comments